sw_jer_text_reg/41/17.txt

1 line
307 B
Plaintext

\v 17 Kisha walienda na kubaki kwa muda huko Geruthi Kimhamu, ambayo iko karibu na a Bethlehemu. Walikuwa wakienda Misri \v 18 kwa sababu ya Wakalidayo. Walikuwa wakiwaogopa kwani Ishmaeli mwana wa Nethania alikuwa amemuua Gedalia mwana wa Ahikamu, ambaye mfamle wa Babeli amewekwa kwenye usimamizi wa nchi.