sw_jer_text_reg/41/06.txt

1 line
363 B
Plaintext

\v 6 Basi Ishmaeli mwana wa Nethania alienda toka Mizpa kukutana nao kama walivyoenda, wakitembea na kulia. Kisha ilitokea kwamba kama alivyokutana nao, alisema nao, "Njoo kwa Gedalia mwana wa Ahikamu!" \v 7 Ilikuja kuwa kwamba wakati walipokuja katika mji, Ishmaeli mwana wa Nethania aliwauwa na kuwatupa kwenye shimo, yeye na wanaume ambao walikuwa pamoja naye.