sw_jer_text_reg/37/01.txt

6 lines
694 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 1 Sasa Sedekia mwana wa Yosia alitawala kama mfalme badala ya Yehoyachin mwana wa Yehoyakimu. Nebukadreza mfalme wa Babeli alikuwa amemfanya Sedekia mfalme juu ya nchi ya Yuda. \v 2 Lakini Sedekia, wajakazi wake, na watu wa nchi hawakusikiliza maneno ya Yahwe ambayo alitangaza kwa mkono wa Yeremia nabii.
=======
\c 37 \v 1 Sasa Sedekia mwana wa Yosia alitawala kama mfalme badala ya Yehoyakini mwana wa Yehoyakimu. Nebukadreza mfalme wa Babeli alikuwa amemfanya Sedekia mfalme juu ya nchi ya Yuda. \v 2 Lakini Sedekia, wajakazi wake, na watu wa nchi hawakusikiliza maneno ya Yahwe ambayo alitangaza kwa mkono wa Yeremia nabii.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113