sw_jer_text_reg/47/05.txt

1 line
351 B
Plaintext

\v 5 Upaa utakuja juu ya Gaza. Hata kwa Ashikeloni amenyamazishwa. Nyie mliosalia bondeni hata lini mtaendelea kuomboleza kwa kujikatakata? \v 6 Ole, upanga wa Yahwe! itachukua muda gani hata unyamaze? Rudini alani mwenu! Acha na unyamaze. \v 7 Itawezaje kutulia wakati Yahwe ameiamuru, na ameiaagiza kumpiga Ashikeloni na mwambao wa pwani ya bahari?