sw_jer_text_reg/46/27.txt

1 line
505 B
Plaintext

\v 27 Lakini wewe, Yakobo mtumishi wangu, usihofu. Usifadhaike, Israeli, maana tazama, nitayari kukurudisha kutoka mbali, na uzao wako kutoka nchi ya mateka. Kisha Yakobo atarudi, nakuwa katika amani; na kuhifadhiwa salama, na hapatakuwa na wa kumwogofya. \v 28 Wewe, mtumishi wangu Yakobo, usiogope--asema Yahwe--kwa maana nipo nawe, hivyo nitaleta maangamizi makamilifu dhidi ya mataifa yote nilikokupeleka. Lakini sitakuharibu kabisa. Hata hivyo nitakuadhibu kwa haki na hakika sitakuacha bila adhabu."