sw_jer_text_reg/51/63.txt

1 line
250 B
Plaintext

\v 63 Kisha mtakapokuwa mmemaliza kusoma gombo hili, funge pamoja na jiwe na ulitupe katikati ya Frati. \v 64 Sema, 'Babeli itazama namna hii. Hautainuka kwa sababu ya mabaya ninayoyapeleka juu yake, nao wataanguka." Maneno ya Yeremia yanaishia hapa.