sw_jer_text_reg/51/52.txt

1 line
303 B
Plaintext

\v 52 Kwa hiyo, tazama, siku zinakuja--hivi ndivyo asemavyo Yahwe-- nitakapoziadhibu sanamu zake, na waliojeruhiwa watanung'unika kwa maumivu katika nchi yake yote. \v 53 Maana hata kama Babeli angepanda mbinguni au kujenga ngome zake ndefu, waharibuo kutoka kwangu wangemwendea--hili ni tamko la Yahwe.