sw_jer_text_reg/51/50.txt

1 line
243 B
Plaintext

\v 50 Ondokeni!, manusura wa vita, Msikawie. Mkumbukeni Yahwe tokea mbali; Yerusalemu na ikumbukwe. \v 51 Tumeaibika, maana tumekuwa tukitukanwa matusi; dhihaka imefunika nyuso zetu, maana wageni wameingia mahali patakatifu pa nyumba ya Yahwe.