sw_jer_text_reg/51/47.txt

1 line
442 B
Plaintext

\v 47 Kwa hiyo, tazama, siku zinakuja nitakapoadhibu sanamu za kuchongwa za Babeli. Nchi yake yote itaaibika, na wote waliochinjwa wataanguka ndani yake. \v 48 Kisha mbingu na nchi, na vyote vilivyomo ndani yake vitafurahi juu ya Babeli. Kwani waharibifu watamwijia kutoka kaskazini-- hili ni tamko la Yahwe. \v 49 "Kama Babeli alivyowafanyia waanga wa kifo wa Israeli kuanguka, hivyo wote waliouawa katika nchi yake wataanguka katika Babeli.