sw_jer_text_reg/51/45.txt

1 line
327 B
Plaintext

\v 45 Tokeni kati yake, enyi watu wangu. Kila mmoja wenu aokoe maisha yake kutoka katika hasira ya gadhabu yangu. \v 46 Msiache mioyo yenu ikaogopa au kuhofu habari iliyosikiwa nchini, maana habari itakuja siku moja. Baada yake mwaka unaofuata kutakuwa na habari, na ghasia zitakuwa nchini. Mtawala atakuwa kinyume cha mtawala.