sw_jer_text_reg/51/43.txt

1 line
264 B
Plaintext

\v 43 Miji yake imekuwa ukiwa, sehemu kame na nyika, nchi isiyo na watu, na hakuna mtu apitaye hapo. \v 44 Hivyo nitamwadhibu Beli huko Babeli; nitakitoa kinywani mwake alichokimeza, na mataifa hawatammiminikia tena pamoja na sadaka zao. Kuta za Babeli zitaanguka.