sw_jer_text_reg/51/41.txt

1 line
207 B
Plaintext

\v 41 Jinsi gani Babeli ulivyotekwa! Hivyo fahari ya dunia yote imekamatwa. Jinsi Babeli ulivyofanyika sehemu yenye magofu kati ya mataifa. \v 42 Bahari imekuja juu ya Babeli! Amefunikwa na mawimbi yavumayo.