sw_jer_text_reg/51/33.txt

1 line
182 B
Plaintext

\v 33 Maana Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi: Binti Babeli ni kama sakafu ya kupuria. Ni muda wa kumkanyagia chini. Ni kitambo kidogo wakati wa mavuno utakuja juu yake.