sw_jer_text_reg/51/27.txt

1 line
307 B
Plaintext

\v 27 Inua bendera ya ishara ya vita juu ya nchi. Piga tarumbeta katika mataifa. Yaite mataifa yamshambulie: Ararati, Mini na Ashkenazi. Teua majemedari wa kumshambulia; leta farasi kama nzige warukao. \v 28 Waandae mataifa kumshambulia: wafalme wa Umedi na magavana wao, maafsa wake wote na nchi yake yote.