sw_jer_text_reg/51/15.txt

1 line
315 B
Plaintext

\v 15 Ameifanya dunia kwa nguvu zake; akaiweka dunia mahali kwa hekima yake. Kwa ufahamu wake alizitanda mbingu. \v 16 Anapofanya ngurumo, kunakuwa na mvumo wa maji mbinguni, maana huleta ukungu kutoka miisho ya dunia. Hufanya radi kwa ajili ya mvua na kuituma na kuutuma upepo kutoka katika maghala ya nyumba zake.