sw_jer_text_reg/51/13.txt

1 line
264 B
Plaintext

\v 13 Enyi mwishio kati ya chemchemi nyingi za maji, ninyi mlio na wingi wa hazina, mwisho wenu umefika. Uzi wa maisha yenu umepunguzwa. \v 14 Yahwe wa majeshi ameapa kwa maisha yake, 'nitakujaza na adui zako, kama pigo la nzige; watainua kelele za vita juu yako.'