sw_jer_text_reg/51/05.txt

1 line
310 B
Plaintext

\v 5 Maana Israeli na Yuda hawajaachwa na Mungu wao, na Yahwe wa majeshi, japokuwa nchi yao imejazwa na maasi yaliyotendwa dhidi ya aliye Mtakatifu pekee wa Israeli. \v 6 Kimbieni kutoka Babeli; kila mtu na ajiokoe mwenyewe. Msiangamie katika maasi yake. Maana ni wakati wa kisasi cha Yahwe. Atamlipa kwa yote.