sw_jer_text_reg/50/31.txt

1 line
296 B
Plaintext

\v 31 Tazama, mimi ni kunyume chako, mwenye majivuno--hili ni tamko la Bwana Yahwe wa majeshi--maana siku yako imefika, mwenye kiburi, wakati nitakapokuadhibu. \v 32 Hivyo wenye kiburi watajikwaa na kuanguka. Hakuna atakaye wainua. Nitawasha moto katika miji yao; utateketeza kila kitu kati yake.