sw_jer_text_reg/50/29.txt

1 line
368 B
Plaintext

\v 29 Ita wapiga pinde dhidi ya Babeli--wale wote wapindao pinde zao. Piga kambi kinyume chake, na msimwache yeyote kutoroka. Mlipeni kwa kile alichofanya. Mfanyieni kwa kipimo alichotumia. Maana amemdharau Yahwe--Mtakatifu wa Israeli. \v 30 Hivyo vijana wake wataanguka katika viwanja vya mji, na wapiganaji wake wote wataangamizwa siku hiyo--hili ni tamko la Yahwe."