sw_jer_text_reg/50/17.txt

1 line
317 B
Plaintext

\v 17 Israeli ni kundi la kondoo aliyetawanywa mbali na simba. Kwanza mfalme wa Ashuru alimrarua; kisha baadaye, Nebukadneza mfalme wa Babeli akavunja mifupa yake. \v 18 Kwa hiyo Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi: Tazama, nitamwadhibu mfalme wa Babeli na nchi yake, kama nilivyomwadhibu mfalme wa Ashuru.