sw_jer_text_reg/49/30.txt

1 line
322 B
Plaintext

\v 30 Kimbia! Tangatanga mbali! Kaa katika maandaki ardhini, mkaao Hazori--asema Yahwe--maana Nebukadneza mfalme wa Babeli amepanga mpango kinyume chenu. Kimbieni! Geukeni! \v 31 Inuka! lishambulie taifa lililokatika amani, waishio salama," asema Yahwe. "Hawana malango wala nguzo ndani yao, na watu wake wanakaa wenyewe."