sw_jer_text_reg/49/26.txt

1 line
226 B
Plaintext

\v 26 Kwa hiyo vijana wake wataanguka katika mitaa yake na askari wake wote watateketea siku hiyo--hili ni tamko la Yahwe wa majeshi." \v 27 "Maana nitawasha moto katika kuta za Dameski, nami nitazivunja ngome za Beni-Hadadi."