sw_jer_text_reg/49/23.txt

1 line
368 B
Plaintext

\v 23 Juu ya Dameski: "Hamathi na Arpadi zitaaibika, maana wamesikia habari ya madhara. Wanayeyuka! Wamesumbuka kama bahari, isiyotulia. \v 24 Dameski umekuwa dhaifu sana. Unageuka kukimbia; hofu imeushika, Maangaiko na maumivu yameupata, kama uchungu wa mwanamke ajifunguaye. \v 25 Watu wake wanasema, "Umekuwaje mji maarufu, mji ambao nimeufurahia, kabla haujaachwa?