sw_jer_text_reg/49/21.txt

1 line
320 B
Plaintext

\v 21 Kwa kishindo cha kuanguka kwao nchi hutikisika. Sauti ya milio ya kukata tamaa inasikika katika Bahari ya Shamu. \v 22 Tazama, mtu fulani atapiga kama tai, na kushuka chini kwa kasi na kutandaza mabawa yake juu ya Bozra. Kisha katika siku hiyo, mioyo ya askari wa Edomu itakuwa kama moyo wa mwanamke katika kuzaa."