sw_jer_text_reg/49/17.txt

1 line
234 B
Plaintext

\v 17 Edomu atakuwa kitisho kwa kila aipitaye. Kila mtu atatetemeka na kutoa sauti kwa sababu ya maafa yake. \v 18 Kama maangamizi ya Sodoma na Gomora na jirani zake," asema Yahwe, "hakuna atakayeishi pale; hakuna mtu atakayekaa huko.