sw_jer_text_reg/49/05.txt

1 line
307 B
Plaintext

\v 5 Tazama, nitaleta kitisho juu yenu - hili ni tamko la Yahwe, Bwana wa majeshi--kitisho hiki kitatoka kwao wote wanaowazunguka. Kila mmoja wenu atatawanyika mbele yake. Hakutakuwa na wa kuwakusanya wanaotokomea mbali. \v 6 Lakini baada ya haya nitarejesha mema ya watu wa Amoni - hili ni tamko la Yahwe."