sw_jer_text_reg/49/01.txt

1 line
432 B
Plaintext

\c 49 \v 1 Juu ya watu wa Amoni, Yahwe asema hivi, "Je Israeli hana watoto? Je hakuna mtu wa kurithi chochote katika Israeli? Kwa nini Moleki aikalie Gadi, na watu wake kukaa katika miji yake? \v 2 Hivyo angalia, siku zinakuja--asema Yahwe - nitakapo sikizisha ishara ya vita juu ya Raba miongoni mwa watu wa Amoni, hivyo itakuwa rundo lililoachwa na vijiji vyake vitawaka moto. Maana Israeli atawamiliki wanaommiliki," asema Yahwe.