sw_jer_text_reg/48/40.txt

1 line
260 B
Plaintext

\v 40 Maana Yahwe asema hivi, "Tazama, adui atakuja akiruka kama tai, akitandaza mabawa yake juu ya Moabu. \v 41 Keriothi umetekwa, na ngome zake zimekamatwa. Maana siku hiyo mioyo ya askari wa Moabu itakuwa kama mioyo ya wanawake katika uchungu wa kujifungua.