sw_jer_text_reg/48/26.txt

1 line
358 B
Plaintext

\v 26 Mnywesheni, maana alitenda kwa kiburi kinyume changu, Yahwe. Basi Moabu anapiga makofi kwa machukizo kwa matapiko yake mwenyewe, hivyo amekuwa pia kitu cha kuchekesha. \v 27 Kwani Israeli hakufanyika kitu cha kuchekesha kwako? Je, alikuwa amepatikana miongoni mwa wezi, kiasi cha kukufanya utikise dhidi yake kichwa chako kila mara uliponena juu yake?