sw_jer_text_reg/48/21.txt

1 line
371 B
Plaintext

\v 21 Basi maangamizi yamefika katika nchi ya kilima, huko Holoni, Yakza, na Mefathi, \v 22 na huko Diboni, Nebo, na Bethi Diblathaimu, \v 23 hata huko Kiriatahaimu, Beth Gamul, na Bethi Meoni, \v 24 Huko Keriothi na Bozra, na katika miji yote iliyomo katika nchi ya Moabu--miji iliyoko mbali na karibu. \v 25 Nguvu za Moabu zimekwisha; mkono wake umevunjwa--asema Yahwe.