sw_jer_text_reg/48/18.txt

1 line
455 B
Plaintext

\v 18 Shukeni kutoka mahali penu pa heshima na kuketi katika nchi kavu, ewe binti uishie Diboni. Kwakuwa aiangamizaye Moabu atakuja dhidi yako, ataziharibu ngome zako. \v 19 Simameni njiani na kuangalia, enyi mwishio katika Aroeri. Waulizeni wanaokimbia na kutoroka. Sema, 'Nini kimetokea?' \v 20 Moabu ameaibika, kwa maana amevujwa. Lieni kwa sauti na uchungu; pigeni yowe kuomba msaada. Wambieni watu waliokando ya Mto Arinoni kwamba Moabu ameangamizwa.