sw_jer_text_reg/48/11.txt

1 line
383 B
Plaintext

\v 11 Moabu amekuwa akijisikia salama tangu alipokuwa kijana. Yeye ni kama mvinyo wake ambao haujamiminwa kutoka mtungi kwenda mtungi mwingine. Hajawahi kwenda utumwani. Hivyo radha yake ni njema kama mwanzo; radha yake haibadiliki. \v 12 Hivyo tazama, siku zinakuja-- hili ni tamko la Yahwe--nitakapompelekea hao watakao mchovya na kumwaga mitungi yake yote na kupasua mitungi yake.