sw_jer_text_reg/48/06.txt

1 line
236 B
Plaintext

\v 6 Kimbieni! okoeni maisha yenu kama kichaka cha mreteni katika nyika. \v 7 Maana kwa sababu ya tumaini lenu katika matendo na utajiri wenu, ninyi pia mtatekwa. Kisha Kemoshi atachukuliwa matekani, pamoja na makuhani na viongozi wake.