sw_jer_text_reg/46/25.txt

1 line
360 B
Plaintext

\v 25 Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema, "Tazama, niko karibu kumwadhibu Amoni wa Thebesi, Farao, Misri na miungu yake, Mafarao wafalme wake, na wote wanaomtumaini. \v 26 Ninawaweka katika mkono wake atafutaye maisha yao, na katika mkono wa Nebukadneza mfalme wa Babeli na watumishi wake. Kisha baada ya haya Misri itakaliwa kama mwanzo-- asema Yahwe."