sw_jer_text_reg/46/23.txt

1 line
218 B
Plaintext

\v 23 Wataangusha misitu--japokuwa ni mingi sana--hili ni tamko la Yahwe. Kwa maana adui watakuwa wengi kuliko nzige, wasioweza kuhesabika. \v 24 Binti wa Misri ataaibishwa. Atawekwa mkononi mwa watu kutoka kaskazini."