sw_jer_text_reg/46/20.txt

1 line
445 B
Plaintext

\v 20 Misri ni mtamba mzuri sana, lakini mdudu aumaye anakuja kutoka kaskazini. Anakuja. \v 21 Askari wake wakukodiwa ni kama dume la ng'ombe lililonona kati yake, lakini wao pia watageuka na kukimbia. Hawatasimama pamoja, kwani siku yao ya madhara inakuja kunyume chao, wakati wa kuadhibiwa kwao. \v 22 Misri anatoa sauti kama ya nyoka na kuondoka kwa kutambaa, maana adui yake anakuja kinyume chake. Wanamkabili kama mkata miti aliye na shoka.