sw_jer_text_reg/46/11.txt

1 line
267 B
Plaintext

\v 11 Panda Gileadi ujipatie dawa, binti wa Misri uliyebikra. Haifai kwamba unaweka dawa nyingi juu yako. Hakuna uponyaji kwako. \v 12 Mataifa wamesikia kuaibika kwako. Nchi imejawa na fedheha yako, maana askari hujikwaa juu ya askari; na wote wawili uanguka pamoja."