sw_jer_text_reg/46/10.txt

1 line
291 B
Plaintext

\v 10 Siku hiyo itakuwa siku ya kisasi kwa Bwana Yahwe wa majeshi, naye atajilipizia kisasa juu ya adui zake. Upanga utararua na kujiridhisha. Utakula na kujishibisha kwa damu yao. Kwa maana kutakuwa na sadaka ya kafara kwa Bwana Yahwe wa majeshi katika nchi ya kaskazini kando ya mto Frati.