sw_jer_text_reg/46/07.txt

1 line
438 B
Plaintext

\v 7 Ni nani huyu ainukaye kama Nile, ambaoye maji yake yanaruka juu na chini kama mito? \v 8 Misri huinuka kama mto Nile, na maji yake yanaumuka juu na chini kama mito. Misri inasema, 'nitapanda juu na nitaifunika nchi. Nitaiharibu miji na watu wakaao ndani yake. \v 9 Nyanyukeni, farasi. Iweni na hasira, enyi magari ya vita. Askari na waende, Kushi na Putu, watu walio na ujuzi wa ngao, na Ludimu, watu wenye ujuzi wa kupiga pinde zao.