sw_jer_text_reg/46/05.txt

1 line
291 B
Plaintext

\v 5 Ninaona nini hapa? Wana woga na wanakimbia, maana askari wao wameshindwa kabisa. Wanakimbia kwa usalama na hawaangalii nyuma. Kitisho kipo mahali pote--ili ni tamko la Yahwe-- \v 6 wepesi hawawezi kukimbia, na askari hawezi kukwepa. Wana jikwaa kaskazini na kuanguka kando ya mto Frati.