sw_jer_text_reg/42/18.txt

1 line
480 B
Plaintext

\v 18 Kwa kuwa Yahwe Mungu wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi: Kama gadhabu yangu na hasira yangu imemwagwa juu ya wakazi wa Yerusalemu, kwa njia hiyo hasira yangu itamwagwa juu yenu kama mtaenda Misri. Mtakuwa sababu ya hasira na hofu, sababu la kuzungumza laana, na kitu kisichokuwa na heshima. Na hamtaona eneo hili tena." \v 19 Basi Yeremia alisema, "Yahwe amezungumza kuhusu ninyi--mabaki ya Yuda. Msiende Misri! Unajua kwa hakika kwamba nimekuwa shahidi dhidi yenu leo.