sw_jer_text_reg/42/13.txt

1 line
310 B
Plaintext

\v 13 Lakini tudhani kwamba umesema, "Hatutakaa katika nchi hii"-- kama hamtasikiliza sauti yangu, sauti ya Yahwe Mungu wenu. \v 14 Tudhani kwamba mnasema, "Hapana! Tutaenda katika nchi ya Misri, ambayo hatutaona vita yoyote, ambayo hatutasikia sauti ya tarumbeta, na hatutaona njaa ya chakula. Tutaishi huko."