sw_jer_text_reg/42/11.txt

1 line
252 B
Plaintext

\v 11 Msimugope mfalme wa Babeli, ambaye mnamuogopa. Msimuogope--hili ni tamko la Yahwe--kwani niko pamoja nanyi kuwahifadhi na kuwaokoa toka mkononi mwake. \v 12 Kwa kuwa nitawapa rehema. Nitakuwa na huruma juu yenu, na nitawarudisha kwenye nchi yenu.