sw_jer_text_reg/42/07.txt

1 line
509 B
Plaintext

\v 7 Basi ilitokea kwamba baada ya siku kumi, neno la Yahwe lilikuja kwa Yeremia. \v 8 Kwa hiyo Yeremia alimwita Yohanani mwana wa Karea na maamiri wote wa jeshi pamoja naye, na watu wote kutoka mdogo hata mkubwa. \v 9 Ndipo alisema nao, "Hili ndilo BWANA, Mungu wa Israeli-- ambaye mmenituma kwake ili niweze kuweka maombi yenu mbele zake--asema, \v 10 kama mtarudi na kuishi katika nchi hii, basi nitawajenga na sitawararua chini; Nitapanda na sitawang'oa, kwa kuwa nitageuza maafa ambayo nimeleta juu yenu.