sw_jer_text_reg/41/15.txt

1 line
493 B
Plaintext

\v 15 Lakini Ishmaeli mwana wa Nethania alitoroka na wanaume nane toka kwa Yonathani. Alienda kwa watu wa Ammoni. \v 16 Yohanani mwana wa Karea na makamanda wote wa jeshi pamoja naye walichukua toka Mizpa watu wote ambao walikuwa wameokolewa kutoka kwa Ishmaeli mwana wa Nethania. Hii ilikuwa baada ya Ishmaeli kuwa amemuuwa Gedalia mwana wa Ahikamu. Yohanani na rafiki zake walichukua wanaume shujaa, wanaume wapiganaji, wanawake na watoto, na matoashi ambao alikuwa wameokolewa huko Gibeoni.