sw_jer_text_reg/41/13.txt

1 line
287 B
Plaintext

\v 13 Kisha ilitokea kwamba wakati watu wote ambao walikuwa na Ishmaeli kumuona Yohanani mwana wa Karea na amri wote wa jeshi ambao walikuwa pamoja naye, walikuwa na furaha. \v 14 Basi watu wote ambao Ishmael alikuwa amewashika huko Mizpa waligeuka na kwenda kwa Yohanani mwana wa Karea.