sw_jer_text_reg/41/08.txt

1 line
482 B
Plaintext

\v 8 Lakini palikuwa na wanaume kumi miongoni mwao ambao walisema kwa Ishmael, " Usituue, kwa kuwa kuna riziki zetu kwenye shamba: ngano na shayiri, mafuta na asali" Kwa hiyo hakuwauwa pamoja na rafiki zao wengine. \v 9 Kisima ambacho Ishmaeli alitupia miili yote ya waliokufa ambao yeye na Gedalia waliwapiga, kilikuwa ni kilekile ambacho mfalme Asa alichimba wakati alipokuwa akivamiwa na mfalme Baasha wa Israel. Ishmaeli mwana wa Nethania alilijaza wale ambao walikuwa wameuawa.