sw_jer_text_reg/41/04.txt

1 line
339 B
Plaintext

\v 4 Kisha ilikuwa siku ya pili baada ya kumuua Gedila, lakini hakuna mmoja aliyefahamu. \v 5 Wanaume baadhi walikuja toka Shekemu, toka Shilo, na toka Samaria--wanaume themanini ambao walikuwa wamenyoa ndevu zao, walirarua nguo zao, na kujikata wenyewe-- pamoja na chakula cha sadaka na ubani katika mikono yao kwenda kwa nyumba ya Yahwe.