sw_jer_text_reg/41/01.txt

1 line
656 B
Plaintext

\c 41 \v 1 Lakini ilitokea kwamba katika mwezi wa saba Ishmaeli mwana wa Nethania mwana wa Elishama, toka familia ya kifalme, na maafisa baadhi wa mfalme, walikuja --wanaume kumi walikuwa pamoja naye -- kwa Gedalia mwana wa Ahikam, huko Mizpa. Walikula chakula pamoja huko Mizpa. \v 2 Lakini Ishmaeli mwana wa Nethania, na wanaume kumi ambao walikuwa pamoja naye waliinuka na kumvamia Gedalia mwana wa Ahikamu mwana wa Shafani, kwa upanga. Ishmaeli alimuua Gedalia, ambaye mfalme wa Babeli alimweka kuwa msimamizi wa nchi. \v 3 Kisha Ishmaeli akawauwa Wayahudi wote ambao walikuwa pamoja na Gedalia huko Mizpa na Wakaldayo wanaume wa kupigana kukutwa hapo.