sw_jer_text_reg/40/15.txt

1 line
421 B
Plaintext

\v 15 Basi Yohanani mwana wa Karea alizungumza kwa siri kwa Gedalia huko Mizpa na kusema, "Niruhusu niende kumuua Ishmael mwana wa Nethania. Hakuna atakaye nituhumu. Kwanini asikuue wewe? Kwanini kuruhusu Yuda yote ambayo imekusanywa kwako kutawanyishwa na mabaki ya Yuda kuharibiwa?" \v 16 Lakini Gedalia mwana wa Ahikamu alisema kwa Yohanani mwana wa Karea, "Usifanye jambo hili, kwa kuwa unasema uongo kuhusu Ishmael."